JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Yanga yachapwa na Ihefu FC 2-1

Klabu ya Ihefu imevunja rekodi ya Yanga ya kutokufungwa katika mechi ya 50 kwenye mechi za ligi kuu Tanzania bara baada ya kufungwa kwa mabao 2-1, mchezo ambao ulipigwa Mbarali mkoani Mbeya. Yanga Sc ilianza kupata bao kupitia kwa Yannick…

Simba yanyakua pointi tatu kwa Polisi

Klabu ya Simba imefanikiwa kuondoka na alama tatu mbele ya timu ya Polisi Tanzania baada ya kuichapa mabao 3-1 kwenye mchezo huo ambao ulichezwa kwenye dimba la Ushirika mjini Moshi. Kwenye mechi hiyo tumeshuhudia mshambuliaji wao Moses Phiri akiweka kambani…

Klabu ya Manchester United yatangaza kupigwa mnada

Klabu ya Machester United iko mbioni kupigwa mnada na kuwa chini ya mmiliki mpya mara baada ya wamiliki wa klabu hiyo ambao ni familia ya Glazers kukubali kuiuza. Kupitia taarifa iliyotolewa leo Novemba 23, 2022 kwenye tovuti rasmi ya Manchester…

FIFA yaweka zuio kuvaa kitambaa cha ‘One Love’ Kombe la Dunia Qatar,kinahamasisha ushoga

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limepiga marufuku kitambaa cha “One Love” kwenye Kombe la Dunia 2022linaloendelea nchini Qatar. Kitambaa hicho ni sehemu ya hamasa inayotumiwa na wanasoka wengi Ulaya hususanimanahodha kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja (ushoga) ambayo ni kinyume cha…

TRA, KCMC zapimana nguvu michuano ya SHIMUTA

………………………………………………………….. Timu za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),mabingwa watetezi kwa upande wa mpira wa miguu na Hospitali ya Rufaa KCMC ya Kilimanjaro zimetoshana nguvu baada ya kufungana bao 1-1, katika michuano ya Shimuta inayoendelea Jijini Tanga. Mchezo huo ambao umefanyika…

Kaze mkurugenzi mpya wa ufundi timu ya Vijana Yanga

Uongozi wa klabu ya Yanga umemteua Mrundi, Cedric Kaze kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana chini ya umri wa miaka 17 na 20 pamoja na timu ya Wanawake, Yanga Princess.