JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Polisi watoa ufafanuzi kuhusu mchezaji Bernad Morrison

Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi wa taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kumhusu Mchezaji Bernard Morrison ikituhumu Kituo cha Polisi Mbweni. Taarifa hiyo kila mtandao unaongeza chumvi kutokana na kuwa na taarifa ya upande mmoja. Ufafanuzi ni kwamba, Bernard…

Simba yaleta heshima kimataifa

Wekundu wa Msimbazi Simba Sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika mchezo wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika uliochezwa leo Disemba 15, 2024 katika uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar…

Aliyekuwa mhasibu KMC FC afikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa

Aliyekuwa Mhasibu wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC FC), Bw. Atulinda Barongo, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni, Dar es Salaam, akikabiliwa na tuhuma za uhujumu uchumi. Bw. Barongo anashtakiwa kwa…

Let Matampi na Coastal Union lugha gongana

Na Isri Mohamed KLABU ya Coastal Union imetangaza kuachana na mlinda lango wao, Ley Matampi Raia wa Congo kwa makubaliano ya pande zote mbili. Matampi alijiunga na Wagosi wa Kaya mnamo Agosti 2023, akiwa na miaka 34 na kuonesha kiwango…

Coast City yafana Kibaha

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema Serikali kupitia wizara ya elimu itaangalia namna ya kuchangia maendeleo ya miundombinu ya Shule ya Msingi Pangani, Kibaha Mjini, mkoani Pwani. Akizungumza baada ya kushiriki…