JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Aucho:Yanga zibeni masikio

Kiungo wa Yanga ambaye ni mchezaji bora wa Uganda kwa msimu uliopita, Khalid Aucho, amewataka mashabiki wa Yanga kuziba masikio na kuacha kusikiliza taarifa za uzushi kuhusu yeye.  Aucho amepost picha yake katika ukurasa wake wa Instagram akiwa ameziba masikio…

Mgunda apeleka vita kwao

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda, yupo Jijini Tanga na timu yake ya Simba SC tayari kukabiliana na klabu ya Coastal Union ambaye ameinoa kwa muda mrefu kabla ya kujiunga na Simba SC ya Jijini Dar es Salaam. …

Mwinyi Zahera Kocha mpya Polisi Tanzania

Klabu ya Polisi Tanzania imemtangaza aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga kuwa kocha wake mpya baada ya mazungumzo ya muda mrefu na makubaliano ya pande zote mbili kufikiwa.  Kocha huyo mwenye uraia wa Congo na Ufaransa atakuwa na jukumu kubwa la…

Suarez agoma kuiomba msamaha Ghana

Mchezaji wa Uruguay, Luis Suarez (31), amesema kamwe hawezi kuomba msamaha kwa kushika kwa mkono mpira uliokuwa unaingia golini kwao katika mechi yao ya Kombe la Dunia dhidi ya Ghana mwaka 2010 nchini Afrika Kusini. Watu wengi wamekuwa wakimtaka Suarez…

Afrika yaandika rekodi kombe la Dunia Qatar 2022

Nchi za Afrika kwa ujumla wake zimefanikiwa kupata ushindi kwa zaidi ya mechi 3 katika hatua ya makundi ya Kombe la Dunia ambapo katika Michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Qatar nchi za Afrika zimepata ushindi katika mechi 4.  …