Category: Michezo
Kisa Morocco, Wasauzi wataka Mosimane apewe Bafana Bafana
Baada ya Morocco kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia nchini Qatar kumeubuka hisia mbalimbali miongoni mwa mashabiki na makocha wa timu mbalimbali kuhusu namna ya kuziandaa timu zao za taifa kuelekea mafanikio. Huko Afrika Kusini kocha wa…
TFF wanapopambanisha ‘Mandonga na Twaha Kiduku’
Kuna kitu kinaendelea katika mechi za Kombe la Shirikisho la Azam ambacho hata mashabiki wa soka hawakifurahii ingawa kwa nje kinaonekana kizuri kwa timu zao. Azam wameshinda 9-0 dhidi ya Malimao FC, Simba nao wameshinda 8-0 na Ihefu nao wakaishindilia…
Hakuna kama Morocco
Hakika hakuna kama Morocco kwa Afrika wala kwa nchi zote za kiarabu baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2022 huko nchini Qatar. Morocco ndio nchi ya kwanza toka Afrika kutinga katika hatua ya…
Simba wanapompuuza mbaniani mbaya wakati hawana malaika
Simba haina tatizo ila imezungukwa na watu wenye matatizo wasiotaka mabadiliko. Ukiona taasisi inakubali kupoteza wasomi wake kirahisi ujue kuna watu hawataki klabu ipige hatua. Simba inarudi nyuma badala ya kwenda mbele. Baniani mbaya kiatu chake dawa. Yawezekana Mo Dewji…
Morocco shujaa wa Afrika
Timu ya Taifa ya Morocco imeandika historia katika Bara la Afrika kwa kuiondosha Portugal ya Cristiano Ronaldo bao 1-0 na kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar. Shujaa wa Morocco ni Youssef En-Nesyri dakika ya…