JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Coastal Union wanapogeuka kituko badala ya kuwa mfano

Klabu ya Coastal Union ya Tanga imekuwa na matokeo ya kushangaza wiki hii hali ambayo sio njema sana kwa kila mpenda maendeleo ya mpira wa miguu hapa nchini. Coastal Union walimtimua kocha wao Yusufu Chippo masaa 12 kabla ya mechi…

Maxime atoa siri ya kuwabana vigogo Kaitaba

Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Mexime, amesema kuwa sare ya 2-2 dhidi ya Azam na sare ya 1-1 dhidi ya Azam anahesabu kuwa kama ni ushindi kwake na amewapongeza wachezaji wake Kwa kucheza mechi mbili kubwa nyumbani na kupata…

Coastal Union kwafukuta,wamtimua kocha wao alfajiri

Klabu ya Coastal Union ya Tanga ambayo ipo Jijini Dar es Salaam wakijiandaa kukabiliana na Yanga SC majira ya 12:15 jioni imemtimua aliyekuwa kocha wake mkuu Yusufu Chippo.  Taarifa ya klabu iliyotolewa asubuhi hii imedokeza kuwa klabu hiyo itakuwa chini…

Ni Argentina bingwa Kombe la Dunia 2022

Timu ya taifa ya Argentina imefanikiwa kutwaa ubingwa wake wa tatu wa Michuano ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa jumla ya mikwaju ya Penalti 4-2 dhidi ya timu ya taifa ya Ufaransa kwenye mchezo uliohitimishwa kwa dakika 120’…

Bado mnawataka TAKUKURU kwa makipa?

Nadhani mjadala wa kutaka Nahimana achunguzwe utakuwa umefika mwisho. Timu zetu zina makipa lakini kuna tatizo kubwa la makocha wa magolikipa. Tumeshuhudia makipa wazuri wakisajiliwa katika timu zetu wakiwa bora lakini baada ya muda viwango vyao vinashuka kadri muda unavyokwenda. …

Mzimu wa Luis Miquissone ulivyomnasa Percy Tau

Al Ahly ya Misri wanakusudia kuvunja mkataba na mchezaji wa Afrika Kusini, Percy Tau, baada ya mchezaji huyo kupata majeraha katika mechi ya juzi kati ya Al Ahly na Ghazl Al Mahal kwenye mechi ya ligi kuu nchi Misri.  Percy…