Category: Michezo
Singida Stars yaichapa Geita Gold 2-1
Wenyeji, Singida Big Stars wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa LITI mjini Singida. Mabao ya Singida Big Stars yote yamefungwa na nyota wake wa Kibrazil,…
Kifo cha Pele, Brazili yaanza siku tatu za maombolezo
Uwanja ambao nguli wa soka wa Brazil Pele alicheza baadhi ya mechi bora zaidi za maisha yake pia utaruhusu watu kutoa salamu zao za mwisho siku ya Jumatatu na Jumanne. Santos, klabu ambayo Pele alicheza huko Brazil, ilisema katika taarifa…
Yanga wasiwe watoto kwa Fei Toto
Yanga wakiendelea kumsujudia Fei Toto wataingia katika hatari ya kushusha morali ya timu. Siamini kama Fei Toto ndio engine ya Yanga, engine ya Yanga ni Nabi mwenyewe wala sio mchezaji yeyote awaye yote ndio maana kikosi cha Yanga Kila mchezaji…
Simba SC yaichapa KMC FC 3-1
Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Mabao ya Simba SC yamefungwa na mshambuliaji na Nahodha John Bocco dakika ya 16,…
Yanga yaonesha ubabe bila Fei Toto
Mabingwa watetezi, Yanga SC wameonyesha wanaweza kuendelea kufanya vizuri bila kiungo Feisal Salum Abdallah aliyesusa akishinikiza kuondoka baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Ilikuwa mechi tamu…
Simba waiondolea Yanga presha kuelekea mechi ya Azam
Siku ya Sikukuu ya Krismas klabu ya Yanga itakuwa wageni wa Azam pale Uwanja wa Mkapa katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili ambapo timu hizo zilitoka sare ya 2-2 katika mechi ya mzunguko wa kwanza. Mechi…