JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Kajula ndiye Mtendaji Mkuu mpya Simba SC

Klabu ya Simba imemtambulisha Imani Kajula kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa klabu hiyo kwa mkataba wa miezi sita, akichukua nafasi ya Barbara Gonzalez aliyejiondoa. Meneja wa Habari wa Simba,Ahmed Ally,amesema kuwa mkataba huo unaweza kurefushwa endapo bodi itaridhishwa na…

Yanga yaachana na mshambuliajie wake Yacouba Sogne

Klabu ya Yanga imeachana na mshambuliaji wake wa Kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne (31) baada ya nyota huyo kumaliza mkataba wake. Sogne ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwaaga wana Yanga; “Ulikuwa wakati mzuri tangu tulipokuwa pamoja mpaka sasa…

Mlandege bingwa wa Mapinduzi Cup 2023

……………………………………………….. Timu ya Mlandege imetwaa ubingwa huo baada ya kushinda magoli 2 dhidi ya 1 la Singida Big Stars, ikiwa timu hizo zote zimeingia fainali kwa mara ya kwanza. Makamu wa Pili wa Rais (SMZ) Mhe. Hemed Suleiman Abdullah, Waziri…

Uchawi wa Makocha wa kigeni unavyowang’arisha Wachezaji

Simba wameshatua Dubai kwa ajili ya maandalizi mafupi ya kujiandaa na mechi za ligi, FA na Klabu Bingwa Afrika. Inavutia kwa namna ambavyo Simba inaishi kisasa zaidi. Simba wanakwenda nje ya nchi kwa mara ya tatu msimu huu katika nia…

Azam wafunga mwaka kwa kishindo kwa kuitandika Mbeya City

Mabao ya Azam FC yamefungwa na Abdul Suleiman ‘Sopu’ mawili dakika ya 22 na 54, Mzimbabwe Prince Dube dakika ya 51, Mkenya Kenneth Muguna dakika ya 56, Iddi Suleiman ‘Nado’ dakika ya 71 na Cleophace Mkandala dakika ya 90 na…