Category: Michezo
Simba yatinga robo fainali kwa kishindo, Chama aondoka na mpira
Timu ya Simba mefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kufanikiwa kuichapa Horoya AC kwa mabao 7-0 katika mchezo wa Kundi C leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao…
Serikali yajipanga kuendeleza michezo sita ya kipaumbele
Na Eleuteri Mangi,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imejipanga vema kusimamia na kuendeleza michezo sita ya kipaumbele ya kimkakati ikiwemo mpira wa kikapu ili kuleta tija katika sekta ya michezo nchini. Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema hayo…
Mtibwa na vita ya kisasi kwa Simba
Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Wana Manungu kutoka mkoani Morogoro, ‘Mtibwa Sugar’ wameeleza kuzitaka alama tatu muhimu kwa kulipa kisasi, katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Simba Sc, mchezo utakaopigwa Jumamosi ya Machi 11 mwaka huu katika uwanja wa Manungu…
Nabi afunguka kilichomtoa Aziz Ki
Na Tatu Saad Dakika 45 za kipindi cha kwanza ndizo dakika pekee zilizomtosha Stephan Azizi Ki katika mchezo wa jana wa kombe la shirikisho barani Afrika, Yanga dhidi ya Real Bamako ya Mali, baada ya kocha mkuu wa Klabu ya…
Yanga yazidi kung’ara kwa Mkapa
Na Tatu Saad, Jamhuri Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania ambao ni washiriki pekee wa kombe la shirikisho barani Afrika Yanga Sc, wamewaburuza Real Bamako ya Mali mabao 2-0, katika Dimba la Benjamin Mkapa. Yanga wameendeleza ubabe katika dimba…