JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Yanga kuminyana na Bamako kesho kwa Mkapa

Na Tatu Saad Jamhuri Media Klabu ya Yanga inatarajia kuingia dimbani kukabiliana na klabu ya Real Bamako ya huko Mali katika mchezo wao wa marudiano wa Kundi D wanaloshiriki katika kombe la shirikisho Afrika. Yanga wataminyana na Real Bamako kesho…

Yanga SC yamtaka Fei Toto kuripoti kambini haraka

Klabu ya Yanga imemtaka mchezaji wake Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ kuripoti kambini haraka iwezekanavyo mara baada ya klabu hiyo kupokea marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji. Hayo yamesema kupitia taarifai liyotolewa na…

Fei Toto awasilisha ombi TFF kuvunja mkataba

Mchezaji wa Yanga Feisal Salum Abdallah ‘Fei toto’ amewasili katika ofisi za shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ‘TFF’ karume, jijini Dar es salaam mapema ya leo kuwasilisha maombi ya kulitaka shirikisho hilo kuuvunja mkataba wake na waajiri wake Yanga…

Simba SC yajipanga kumkabili Vipers nyumbani

Na Mwandishi wetu, Jamhuri Media, Dar es Salaam. Ikiwa ni muendelezo wa mashindano ya klabu bingwa Afrika, Simba Sc wataingia dimbani kuwakabiri Klabu ya Vipers kutoka Uganda kesho Machi,7 2023 katika dimba la Benjamin  mkapa jijini Dar es salaam saa moja…

Simba yafufua matumaini

Bao pekee la beki Mkongo, Henock Inonga Baka ‘Varane’ dakika ya 20 limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Vipers katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Afrika leo Uwanja wa St. Mary’s mjini Kitende. Ushindi…

Utata kufutwa Gwambina FC

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Misungwi Takriban mwezi mmoja tangu kutangazwa kufutwa kwa timu ya soka ya Gwambina ya Misungwi mkoani Mwanza kwa madai ya mmiliki wake kukerwa na mwenendo wa maofisa wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), undani wa tukio…