Category: Michezo
Yanga yazidi kung’ara kwa Mkapa
Na Tatu Saad, Jamhuri Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania ambao ni washiriki pekee wa kombe la shirikisho barani Afrika Yanga Sc, wamewaburuza Real Bamako ya Mali mabao 2-0, katika Dimba la Benjamin Mkapa. Yanga wameendeleza ubabe katika dimba…
Ibenga aitaka huduma ya Inonga
Na Tatu Saad, JAMHURI Kocha mkuu wa Klabu ya Al hilal ya nchini Sudan, Florent Ibenge ameanza kuwashawishi viongozi wa klabu hiyo kufanya mchakato wa kupata saini ya Beki muhimu wa klabu ya Simba Sc, Henock Inonga raia wa Congo….
Milton Karisa aitamani ligi ya Bongo
Na Mwandishi wetu, JAMHURI Mshambuliaji na nahodha wa timu Vipers ya Uganda amesema yupo tayari kucheza soka la Bongo kwani lina muamko na ushawishi mkubwa. Mshambuliaji huyo ambaye ni muhimu katika kikosi cha Vipers amesema soka la bongo linaopendwa na…
SIMBA NA YANGA KUAMUA ZAWADI ZA CAF
Na Tatu Saad, JAMHURI Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limeweka hadharani zawadi kwa Bingwa wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la shirikisho msimu huu 2022/23. Zawadi kwa Bingwa wa Michuano hiyo imewekwa wazi, huku Ligi ya…
VIPERS YAENDELEZA UTEJA KWA SIMBA SC
Na Tatu Saadi, JAMHURI Washiriki pekee wa ligi ya klabu bingwa Afrika kutoka Tanzania Simba Sc, wameendelea kutembeza kipigo kwa Vipers kwa kuwafunga tena Leo katika uwanja wa mkapa jijini Dar es salaam. Simba Sc wameibuka kidedea kwa ushindi wa bao…
Aliyekuwa beki wa Mtibwa Sugar Iddy Mobby azikwa leo Shinyanga
Na Tatu Saad, Jamhuri Media Mwili wa aliyekuwa beki wa mtibwa Sugar Iddy Mobby umezikwa leo katika makaburi ya mshikamano, Ngokolo mjini Shinyanga. Mwili huo umehifadhiwa katika nyumba yake ya milele baada ya kufanyiwa ibada katika msikiti wa Madrasatu Aqswa…