JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Nyota ya Mbappe yafifia Real Madrid Wakiyumba Ligi ya Mabingwa

Mabingwa mara 15 wa Ulaya, Real Madrid, wanakabiliwa na changamoto kubwa baada ya kupoteza mara tatu katika mechi tano za Ligi ya Mabingwa. Baada ya kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Liverpool, wababe hao wa Uhispania wapo katika nafasi ya…

Simba afanya ubaya ubwela kwa Bravos FC

Na Isri Mohamed, Jamhuri Media Dakika 90 za mtanange wa kombe la shirikisho barani Afrika ( CAFCC ) Kati ya Simba SC vs Bravos Fc zimemalizika kwa Mnyama kupata ushindi wa bao moja kwa nunge. Mtanange huo wa Hatua ya…

Timu ya Taifa kuogelea yawaduwaza wengi Burundi

Na Lookman Miraji, Jamhuri Mwdia, Dar es Salaam Timu ya taifa ya mchezo kuogelea imefanikiwa kuibuka mshindi wa pili katika mashindano ya Afrika kanda ya 3 yaliyomalizika hapo jana jijini Bujumbura nchini Burundi. Timu hiyo ya Tanzania imeshika nafasi hiyo…

Yanga wakandwa na aL Hilal kwa Mkapa

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar e Dalaam Klabu ya Yanga imepoteza mchezo wake wa kwanza hatua ya makundi mbele ya AL Hilal ya Sudan kwa mabao 2-0. Yanga imepoteza mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika katika uwanja wa Benjamin…

Majaliwa ahitimisha Jimbo Cup Ruangwa

Kiwengwa FC yaibuka bingwa wa michuano hiyo. Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo maarufu Jimbo cup kati ya Stand fc na Kiwengwa FC uliofanyika katika uwanja wa mpira…

Yanga VS Al Hilal ni kesho

Na Isri Mohamed Klabu ya soka ya Yanga inatarajia kushuka dimbani kesho Novemba 26, kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika (CAFCL) hatua ya makundi, dhidi ya AL Hilal ya Sudan. Akizungumza kwenye mkutano wa wanahabari, Kocha wa Yanga, Saed…