JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Ihefu yajizatiti kuwakabili Simba

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Kikosi cha Ihefu FC kimeanza rasmi mazoezi ya kujifua chini ya benchi la ufundi la timu hiyo, kuelekea mchezo wa Robo Fainali kombe la shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ dhidi ya Simba SC utakaopigwa jijini Da…

TFF yatoa neno Kapombe na Tshabalala kutokuitwa kikosi cha Taifa

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Baada ya kelele nyingi kutoka kwa baadhi ya wapenzi wa soka nchini baada ya mabeki wawili wa klabu ya Simba SC Mohammed Hussein na Shomari Kapombe kutoitwa katika kikosi cha timu ya Taifa, shirikisho la soka…

TFF yaipiga ‘stop’ Ndondo Cup,yawataka wanaoanzisha mashindano kuwa na kibali

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limetoa tamko kwa wanaohitaji kuanzisha mashindano yoyote ya mpira wa miguu. Kupitia ukurasa wake wa Mitandao ya kijamii TFF wametoa taarifa inayosema wao ndio wenye mamlaka ya kutoa kibali…

Mayele ‘hatarudi tena’ Tanzania baada ya AFCON

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Baada ya kuondoka jijini Dar es Salaam jumatatu ya Machi 20 mwaka huu mshambuliaji wa klabu ya Yanga Fiston Mayele amesema hatarudi tena Tanzania baada ya kumaliza mchezo wao wa kufuzu AFCON dhidi ya Mauritania….

Kamwe:Hatuna hofu kukutana na timu yoyote robo fainali

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Uongozi wa Yanga Sc umesema upo tayari kuona kikosi chao kikipangwa na timu yoyote katika hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika. Afisa Habari wa klabu ya Yanga ‘Ali Kamwe amesema kwa ubora…

Simba Queens kunyukana na Yanga Princess kesho

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Wababe wa Soka la Bongo kwa upande wa Wanawake Simba Queens na Yanga Princess kesho Jumatano (Machi 22) wataingia dimbani kupapatuana katika mchezo wa ligi kuu ya wanawake Tanzania. Katika mchezo huo Yanga Princess watakua…