Category: Michezo
Amrouche aipongeza Uganda
Na Tatu Saad,JAMHURIMEDIA Licha ya ushindi wa bao 1-0 walioupata Taifa Stars dhidi ya Uganda katika mchezo wa kundi F kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2023’ uliopigwa katika uwanja wa Suez Canal Authority uliopo nchini Misri,kocha Adel Amrouche…
Mandonga amchapa Mganda,ajinyakulia taji
Bondia machachari na mwenye mbwembwe nyingi Karim Mandonga amechampa Mganda Kenneth Lukyamuzi na kutwaa ubingwa wa PST uzani wa Light-Heavyweight. Mandonga ameshinda kwa pointi katika pambano hilo la raundi 8 na kutwaa ubingwa huo wa kwanza kabisa katika maisha yake…
Azam yaanza kujitafakari ligi kuu
Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Matajiri kutoka Chamazi, Azam FC wameanza kujitafakari ili kufanya vizuri katika michezo ya ligi kuu iliyosalia msimu huu wa 2022/23, baada ya kuchemsha kwenye baadhi ya michezo waliyocheza hadi sasa. Akizungumza kocha msaidizi wa Azam FC,Kally…
Waonywa kucheza Ndondo Cup msimu wa Ramadhan
Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Shirikisho la Soka Zanzibar ‘ZFF’ limewaonya Wachezaji wa Klabu za Ligi Kuu visiwani humo ‘PBZ Premier League’ pamoja na Ligi Daraja la kwanza Kanda ya Unguja na Pemba, kutojihusisha na kucheza Michuano ya Mitaani (NDONDO Cup)…
Dario bado ni mali ya Singida
Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Nyota Dario Frederico kutoka klabu ya Singida Big Stars ameongezewa muda wa likizo na timu yake hiyo baada ya kupewa likizo ya mwezi mmoja kwa akili ya matibabu nchini Brazil na ripoti ya daktari ikionesha amepona…
Geita Gold yaitaka Yena
Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Klabu ya Geita Gold imetangaza nia ya kushiriki katika michuano ya Kimataifa msimu wa 2023/24 kwa ubora mkubwa zaidi kwa kuweka mikakati mbalimbali itakayowasaidia katika kufikia malengo hayo. Katibu mtendaji wa Geita Gold, Simon Shija amesema…