JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Waziri Mkuu azipongeza Simba na Yanga

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameungana na Watanzania kuipongeza klabu ya Yanga kwa hatua ya nusu fainali waliyofikia katika mashindano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF). Waziri Mkuu Majaliwa amesema…

Azam FC yaiua kiume Simba nusu fainali

Azam FC imewaua kiume Simba 2-1 kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation mchezo uliochezwa Uwanja wa Nangwada Sijaona. Ni Lusajo Mwaikenda dakika ya 22 alianza kupachika bao kwa Azam FC kisha usawa ukawekwa na…

Simba yaondolewa na Wydad Casablanca kwa mikwaju 4-3

Timu ya Simba imetolewa na Wydad Casablanca kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL) kwa mikwaju ya penati 4-3 . Katika mchezo huo ambao Simba alikuwa na faida…

Yanga yafanya kweli kimataifa, yaichapa Rivers United 2-0

Ukiwa ni mchezo wa kwanza hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho, ushindi unarejeja Tanzania. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Godswill Akpabio huko Nigeria umesoma Rivers United 0-2 Yanga. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi…

Simba 1-0 Wydad Casablanca

Klabu ya Simba imepata ushindi wa bao 1-0 Wydad Casablanca. Huu ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali. Bao la kuongoza limefungwa na mshambuliaji Jean Baleke akiwa ndani ya 18 dakika ya 30. Dakika 45 za…