Category: Michezo
Simba 1-0 Wydad Casablanca
Klabu ya Simba imepata ushindi wa bao 1-0 Wydad Casablanca. Huu ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali. Bao la kuongoza limefungwa na mshambuliaji Jean Baleke akiwa ndani ya 18 dakika ya 30. Dakika 45 za…
Manchester City yatinga nusu fainali UEFA
Manchester City inatinga hatua ya nusu fainali UEFA Champions League kwa jumla ya ushindi wa mabao 1-4. Katika mchezo wa robo fainali uliochezwa Allianz Arena ubao ulisoma Bayern Munich 1-1 City. City ilianza kupata ushindi kupitia kwa Erling Haaland dakika…
Ihefu yawa mteja kwa Simba
Licha ya Ihefu kuwa bora kwenye mchezo wa leo mbele ya Simba kwenye upande wa umiliki wamekwama kuondoka na pointi tatu. Dakika 90 zimekamilika ubao wa Uwanja wa Highland Estate unasoma Ihefu 0-2 Simba. Mabao yote mawili yamefungwa na Jean…
Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi ya Ihefu
Kikosi cha Simba dhidi ya Ihefu mchezo wa Ligi Kuu Bara namna hii:- Ally Salim yupo langoni, Israel Mwenda, Gadiel Michael kapewa kitambaa cha unahodha Onyango,Kennedy Juma,Ismail Sawadogo, Pape Sakho, Mzamiru Yassin, Jean Baleke, Habib Kyombo, Kibu Dennis
Liverpool ngoma nzito kwa Arsenal
Wakiwa ndani yĆ Anfield Liverpool wamekubali kugawana pointi mojamoja na Arsenal ikiwa ni ngoma nzito kwa timu zote kusepa na poiti tatu. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Liverpool 2-2 Arsenal huku kipindi cha kwanza kikiwa ni mali ya Arsenal…
Yanga hao nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation
Yanga imetinga hatua ya nusu fainali ya Azam Sports Federation kwa ushindi dhidi ya Geita Gold. Dakika 90 zimekamilika ubao unasoma Yanga 1-0 Geita Gold na ni kipindi cha pili wameokota nyavuni bao hilo. Ni Fiston Mayele dakika ya 57…