Category: Michezo
JKT Tanzania yapongezwa kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2023/24
Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu, ameipongeza Klabu ya JKT Tanzania kwa kurejea kucheza Ligu Kuu Soka Tanzania Bara msimu mwaka 2023/2024 baada ya kumaliza vinara katika ligi Championship msimu 2022/2023. Yakubu…
Waziri Mkuu azipongeza Simba na Yanga
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameungana na Watanzania kuipongeza klabu ya Yanga kwa hatua ya nusu fainali waliyofikia katika mashindano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF). Waziri Mkuu Majaliwa amesema…
Azam FC yaiua kiume Simba nusu fainali
Azam FC imewaua kiume Simba 2-1 kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation mchezo uliochezwa Uwanja wa Nangwada Sijaona. Ni Lusajo Mwaikenda dakika ya 22 alianza kupachika bao kwa Azam FC kisha usawa ukawekwa na…
Simba yaondolewa na Wydad Casablanca kwa mikwaju 4-3
Timu ya Simba imetolewa na Wydad Casablanca kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL) kwa mikwaju ya penati 4-3 . Katika mchezo huo ambao Simba alikuwa na faida…
Yanga yafanya kweli kimataifa, yaichapa Rivers United 2-0
Ukiwa ni mchezo wa kwanza hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho, ushindi unarejeja Tanzania. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Godswill Akpabio huko Nigeria umesoma Rivers United 0-2 Yanga. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi…