Category: Michezo
Yanga yashindwa kufurukuta mbele ya USM Alger
Klabu ya Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wao USM Alger ya nchini Algeria baada ya kuokea kichapo cha mabao 2-1 kwenye mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. Licha Yanga kuutawala mchezo katika kipindi…
Ushirikiano wa Tanzania na Afrika Kusini kuimarika kupitia sekta ya utamaduni, sanaa na michezo
Ujumbe wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu Bw. Saidi Yakubu wamekutana na kufanya kikao cha pamoja na Wizara ya Michezo, Sanaa na Utamaduni ya Afrika Kusini na kubadilishana uzoefu ili kuboresha sekta hizo…
Wanamichezo wa JWTZ waibuka kidedea mashindano ya Majeshi Duniani
Na Immaculate Makilika, JamhuriMedia- MAELEZO Serikali imesema kuwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) imeshiriki katika michezo mbalimbali ndani na nje ya nchi ikiwemo mashindano ya Dunia ya Michezo ya Majeshi yaliyofanyika Ujerumani, mwezi Julai 2022, Michezo ya Jumuiya ya…
Tanzania kuomba kuwa mwenyeji wa Mashindano ya AFCON mwaka 2027
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid wamedhamiria kuwa mwenyeji wa michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (African Cup of Nations) 2027. Rais Samia amesema nchi…
Yanga yadhamiria kubeba makombe
Timu ya Yanga imedhamiria kuchukua makombe yote manne msimu huu baada ya kuichapa bao 1-0 Singida Big Stars na kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) mchezo ambao ulipigwa kwenye uwanja wa Liti Mjini Singida. Yanga Sc wapo…
Yanga yaandika historia, yaibamiza Marumo Gallants 2-0
Klabu ya Yanga inefanikiwa kutinga Fainali Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kufanikiwa kuondoka na ushindi wa mabao 2-1 (agg-4-1) dhidi ya timu ya Marumo Gallants ambapo mchezo wa mkondo wa kwanza Yanga akiwa nyumbani alipata ushindi wa mabao…