Category: Michezo
Tanzanite yaibuka ushindi wa vikapu 69-34 dhidi ya timu ya Taifa ya Eritrea
Na Brown Jonas Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma ameshuhudia Timu ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (Tanzanite) ikiibuka na ushindi wa vikapu 69-34 vya Timu ya Taifa ya Eritrea. Mchezo huo wa ufunguzi wa kufuzu mashindano…
Serikali kujenga kiwanja kipya cha michezo jijini Arusha
Na Eleuteri Mangi, WUSM, Arusha Mkoa wa Arusha umepewa dhamana kubwa ya kitaifa ya kujengwa kiwanja kipya cha michezo na kufanya Tanzania kuwa na viwanja vitatu vinavyokidhi vigezo na mahitaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ili kuandaa…
Timu ya Taifa ya walemavu wa akiliI waenda Ujerumani kushiriki michezo ya dunia
Na Mwandishi Wetu Wawakilishi wa Tanzania kwenye michezo ya Dunia kwa watu wenye ulemavu wa akili wameondoka kuelekea Ujerumani kushiriki michezo hiyo itakayoanza Juni 17 hadi 26. Msafara huo wa watu 27 umeondoka saa moja asubuhi ya leo, wakipanda ndege…
FIFA:Yanga walistahili ushindi pia, CAF angalieni upya goli la ugenini
Na mwandishi Wetu Jamhuri Media Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu Duniani (FIFA) amelitaka Shirikisho la Mpira wa miguu Barani Afrika (CAF) kuangalia upya kanuni la goli la ugenini kwa kuwa linaunyima uhalali wa usawa wa point na usawa…
Rais Samia awataka Yanga waboreshe maslahi ya wachezaji, wamalize mzozo wa Fei Toto
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na wadhamini wa Young Africans SC kuwaboreshea wachezaji maslahi yao sanjari na kuwakumbusha kukaa meza moja kufanya mazungumzo na Kiungo Feisal Salum (Feitoto). Rais Samia amesema hayo…