JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

CAF wakunga miundombinu itakayotumika AFCON 2027

Na Eleuteri Mangi, Dar es Salaam Timu ya wataalamu kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ipo nchini kukagua miundombinu ya michezo ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya AFCON 2027 endapo nchi za Tanzania, Kenya na Uganda zitapata ridhaa…

Al Hilal wamuwinda Mbappe kwa dau la Pauni Milioni 259

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia imeweka ofa ya kuvunja rekodi ya pauni milioni 259 kumnunua mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe. Nahodha huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 24, ambaye amebakiza mwaka…

Klabu ya Simba yakamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji

Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji  Luis Jose Miquissone kwa mkataba wa miaka mitatu. Winga huyo raia wa Msumbiji, aliwahi kuitumikia Simba kabla ya kuuzwa Al Ahly ambayo nayo ilimtoa kwa mkopo kabla ya kutangazwa tena kurejea…

Yanga Princess yaitandika Geita Gold

Yanga Princess imeitandika Geita Gold mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki wa utangulizi katika Tamasha la Wiki ya Mwananchi linaloendelea Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Baada ya mchezo kukamilika, burudani ya muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali inaendelea huku mashabiki wakiendelea kumiminika uwanjani uwanjani hapo….

Bonanza la michezo la miaka 60 ya JKT lafana Dodoma

Timu za Veterani JKT Tanzania (Bluu) na Veterani Twalipo (jezi nyeupe) wakishindana katika mchezo wa soka wakati wa Bonanza la Michezo la kuadhimisha miaka 60 Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwenye viwanja vya Kilimani Club jijini Dodoma.  Michezo mingine ya…