JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Watanzania kunufaika na mashindano ya CHAN 2025, AFCON 2027

đź“ŚMashindano yameipa heshima Tanzania kimataifa đź“ŚRais Samia kinara wa Michezo nchini Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Watanzania watanufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii zitakazopatikana kuelekea mashindano ya CHAN 2025 na AFCON 2027. Hayo…

Tanzania iko tayari kwa mashindano ya CHAN na AFCON

Na Lookman Miraji Tanzania kwa kushirikiana na nchi jirani za Afrika mashariki za Kenya na Uganda zinategemea kuwa wenyeji wa michuano ya Afrika ya CHAN 2024 na AFCON mwaka 2027. Kwa upande wa Tanzania kupitia kamati ya maandalizi ya CHAN…

Rais Samia aipongeza Zanzibar Heroes

Repost from @samia_suluhu_hassan Ninaipongeza Zanzibar Heroes kwa kufanikiwa kufika hatua ya fainali ya Mashindano ya Kombe la Mapinduzi. Mmejitoa, mmejituma na sote tunajivunia safari yenu hadi sasa. Mchezo huu wa fainali ni nafasi ya kipekee kwenu kuandika historia, nasi tuko…

Simba yazidi kuchanja mbuga

Wekundu wa Msimbazi Simba SC imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kutoa sare ya bao moja kwa moja dhidi ya Fc Bravos do Maquis wakiwa ugenini nchini Angola. Bao la Simba…

Waziri Kabudi apokea taarifa ya vazi la taifa

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amepokea taarifa maalumu ya mapendekezo ya aina ya michoro ya vazi la Taifa kutoka kwa kamati iliyoundwa kwa ajili ya maandalizi ya vazi hilo. Waziri Kabudi amesema mchakato wa…