JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Ivory Coast na hadithi ya ikisikika nyuma geuka…

Na Isri Mohamed Ule msemo wa ikisikika nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza umejidhihirisha wazi kwa timu ya taifa ya Ivory Coast ambayo licha ya kufuzu hatua ya 16 bora kwa njia ya ‘Best Looser’ lakini wametwaa ubingwa wa…

Moloko atimkia Libya, Al Sadaq Sc

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar Winga wa zamani wa Yanga Raia wa Congo, Jesus Moloko amejiunga na klabu ya AL Sadaqa Benghazi inayoshiriki ligi kuu ya Libya. Moloko ambaye alitemwa na Yanga ili kupisha usajili wa Agustine Okrah Amejiunga na…

Mwakinyo : Wakongo ni wacheza bolingo, njooni muone ngumi Jan 27

Na isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar Bondia Hassan Mwakinyo amesema hana hofu yoyote  na mpinzani wake Mbiya Kanku kutoka DRC Congo, atakayepigana naye Januari 27, 2024, kwani sifa kuu ya taifa hilo ni kucheza bolingo na si ngumi. Mwakinyo ambaye atapanda…

Kocha Mkuu Taifa Stars afungiwa mechi nane

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Adel Amrouche Amefungiwa Mechi nane na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kufuatia kauli zake alizozitoa kuwa Morocco ina ushawishi ndani ya CAF katika kupanga mechi pamoja…

Wachezaji Stars: Bado tuna nafasi ya kutoboa AFCON

Na Isri Mohamed Dakika 90 za mchezo wa kwanza kwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya Morocco kwenye michuano ya AFCON zimemalizika kwa matokeo ya kikatili kwa Stars kupoteza kwa mabao 3 kwa Nunge. Mchezo huo umemalizika…

Gardiel Michael huyo kwa Madiba

Nyota na nahodha wa timu ya Singida Foutain Gate, Gardiel Michael Kamagi,  ametimkia zake kwa Madiba nchini Afrika Kusini kujiunga na timu ya Cape Town Stars kwa mkataba wa miaka miwili. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Rais wa Singida…