Category: Michezo
Wachezaji Stars: Bado tuna nafasi ya kutoboa AFCON
Na Isri Mohamed Dakika 90 za mchezo wa kwanza kwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya Morocco kwenye michuano ya AFCON zimemalizika kwa matokeo ya kikatili kwa Stars kupoteza kwa mabao 3 kwa Nunge. Mchezo huo umemalizika…
Gardiel Michael huyo kwa Madiba
Nyota na nahodha wa timu ya Singida Foutain Gate, Gardiel Michael Kamagi, ametimkia zake kwa Madiba nchini Afrika Kusini kujiunga na timu ya Cape Town Stars kwa mkataba wa miaka miwili. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Rais wa Singida…
Wachezaji waliotemwa na kusajiliwa Simba
DIRISHA dogo la usajili limefungwa rasmi Januari 16, 2024 huku tukiwashuhudia vigogo Simba wakisajili mashine mpya na kuwaacha baadhi ya wachezaji wale wa kimataifa na kitaifa kwa maana ya wachezaji wa ndani. Simba ilifikisha idadi ya wachezaji 15 wakigeni jambo…
Kila la kheri Stars kesho
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinatarajia kushuka dimbani kuvaana na timu ya taifa ya Morocco kesho Januari 17, 2024 huko nchini Ivory Coast katika michuano ya kombe la mataifa ya Afrika {…
Bil 3.7/- zachangwa kuziwezesha timu za Taifa, Rais Samia achangia mil.500/-
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Zaidi ya shilingi bilioni 3.7 zimechangwa ikiwa ni fedha taslimu na ahadi katika hafla ya kuzichangia timu za Taifa za Tanzania ambapo kati ya hizo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amechangia shilingi milioni…
Dk Biteko ashiriki Rombo Marathon, apongeza ubunifu wake
📌Apongeza nia ya Marathon kuhifadhi Mazingira, kuimarisha huduma za kijamii 📌Asema Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi zinazoanzishwa na wananchi kujiletea maendeleo na kukuza Utalii Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko…