Category: Michezo
Yanga Vs Ihefu, mechi ya kisasi leo
Na Isri Mohamed Klabu ya wananchi Yanga leo jioni inatarajia kushuka dimbani dhidi ya Ihefu katika uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar, saa 1 jioni. Yanga wanaingia katika mchezo huo wakiwa na mioyo ya kisasi kufuatia matokeo ya mchezo…
Mnapompandisha Ayoub, msimshushe Manula
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia BAADA ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba vs Tanzania Prison uliomalizika kwa mnyama kufungwa mabao 2 kwa 1 akiwa nyumbani, mjadala mkubwa ulioibuka ni kiwango cha golikipa Aishi Manula ambaye alianza golini akibezwa…
Bruno na Singida FG ndio basi tena
Na Isri Mohamed Kiungo wa Brazil anayekipiga klabu ya Singida Fountain Gate, Bruno Barroso amethibitisha kuachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya pande zote mbili kuanzia leo Machi 4, 2024. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bruno amepost barua yenye ujumbe…
Garden Michael aanza kuwasha moto Afrika Kusini
Isri Mohamed Mlinzi wa kushoto raia wa Tanzania, Gadiel Michael anayekipiga kwenye klabu ya Cape Town nchini Afrika Kusini ameanza kuwasha moto kwenye klabu yake hiyo kwa kutoa Assist ya bao la kwanza wakicheza dhidi ya Galaxy fc. Mchezo huo…
Kidunda, Wellem nani kuibuka mbabe leo usiku
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bondia Seleman Kidunda anatarajia kushuka dimbani leo usiku kupigana na Assemahle Wellem kutoka Afrika kusini. Baada ya kupima uzito Kidunda ametoa ahadi kwa watanzania ya kulipa kisasi kwa Wellem ambaye miezi michache iliyopita…
Yanga watinga robo fanali kibabe
Na isri Mohamed, JamhuriMedia Klabu ya Yanga imefuzu na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwafunga CR Belouizdad mabao manne kwa Nunge. Mabao hayo manne yamefungwa na Mudathir Yahya, Kennedy Musonda, Aziz Ki na Joseph Guede. Hii…