JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Mwijuma apongeza Shirikisho la IFPI kuchagua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wao

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ameupongeza uongozi wa Shirikisho la Kimataifa la Watayarishaji wa Muziki Duniani (IFPI) kwa kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wao mkuu uliofanyika leo Jijini…

Clara Luvanga mfungaji bora Al Nassr

Na Isri Mohamed Mtanzania Clara Luvanga anayekipiga katika klabu ya wanawake ya Al Nassr huko nchini Saud Arabia ameibuka kuwa mfungaji bora wa ligi ya wanawake nchini humo. Luvanga ambaye klabu yake ya Al Nassr ladies imechukua ubingwa wa ligi,…

Bilioni 286 kujenga uwanja wa Arusha, kubeba watu 30000

Na Isri Mohamed Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Dkt. Damas Ndumbaro leo ameongoza zoezi la utiaji saini na mkandarasi unaohusiana na ujenzi wa uwanja mpya wa michezo Jijini Arusha. Waziri Ndumbaro amesema kwa sasa unajengwa uwanja wa kisasa wenye thamani…

Paccome aitwa timu ya Taifa Ivory Coast

Na Isri Mohamed Shirikisho la Soka la Ivory Coast limetangaza kumuita kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kwenye kikosi cha timu yao ya Taifa. Paccome ameitwa kuchukua nafasi ya kiungo mkabaji wa Nottingham Forest Ibrahim Sangare ambaye amepata majeraha. Ivory…

Samatta aliomba asiitwe Stars

Na Isri Mohamed Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta aliomba kutojumuishwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa. TFF imesema Samatta alizungumza na Kocha Hemed Suleiman, kabla ya kutajwa kwa kikosi hicho na…

Samatta, Job waachwa Taifa Stars

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limetangaza kikosi cha wachezaji 23 cha Timu ya taifa (Taifa Stars) kitakachokwenda Azerbaijan kwa ajili ya michezo ya FIFA Series 2024. Kikosi hicho ambacho kwa sasa kinanolewa…