JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Yanga kutangazwa mabingwa wa 30 leo kama atamfunga Mtibwa

Na Isri Mohamed Klabu ya soka ya Yanga leo inatarajia kushuka dimbani Manungu Complex Turiani mkoani Morogoro kuumana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ambao kama wananchi watafanikiwa kuvuna alama tatu basi watatangazwa rasmi kuwa mabingwa kwa mara…

Waziri Mkuu Majaliwa azindua mbio za hiyari Coco beach Dar

-Atangaza rasmi kampeni ya mbio za hiyari ni ya nchi nzima -Awataka wakazi wa DSM kuendelea kufanya mazoezi ya hiyari kila Jumamosi kuanzia saa 12:00 Asubuhi hadi saa 3:00 Asubuhi Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Dar es Salaam Waziri Mkuu wa…

Lameck Lawi afutiwa kadi nyekundu aliyopewa dhidi ya Yanga

Na Isri Mohamed Beki wa Coastal Union Lameck Lawi amefutiwa adhabu ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa na mwamuzi wa mchezo dhidi ya Yanga Sc baada ya kuthibitika kuwa mwamuzi huyo wa kati pamoja na mwamuzi msaidizi namba mbili kushindwa kutafsiri vyema…

Tanzania, Ivory Coast zaingia makubaliano ya ushirikiano kwenye sekta ya michezo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Michezo ya Ivory coast katika masuala mbalimbali ya uendelezaji wa Sekta ya michezo. Makubaliano hayo yameingiwa leo Aprili 21, 2024…

Naibu Waziri Katambi afungua michezo ya Mei Mosi Arusha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe Patrobas Katambi amefungua rasmi michezo ya Mei Mosi na kueleza umuhimu wa michezo hiyo katika kuimarisha afya za wafanyakazi. “Michezo ni…

Serikali kuendelea kudhibiti athari za michezo ya kubahatisha

Na Farida Ramadhani, WF – Dodoma Serikali kupitia Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuzuia na kudhibiti athari za michezo ya kubahatisha ili kuhakikisha jamii inakuwa salama. Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri…