JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Simba yazidi kuchanja mbuga

Wekundu wa Msimbazi Simba SC imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kutoa sare ya bao moja kwa moja dhidi ya Fc Bravos do Maquis wakiwa ugenini nchini Angola. Bao la Simba…

Waziri Kabudi apokea taarifa ya vazi la taifa

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amepokea taarifa maalumu ya mapendekezo ya aina ya michoro ya vazi la Taifa kutoka kwa kamati iliyoundwa kwa ajili ya maandalizi ya vazi hilo. Waziri Kabudi amesema mchakato wa…

Timu za Afrika Mashariki kukutana kisiwani Pemba katika Kombe la Mapinduzi

Michuano ya Kombe la Mapinduzi, inafungua pazia leo visiwani Zanzibar, ambapo Kilimanjaro Stars kutoka Tanzania bara itakutana na timu ya taifa ya Zanzibar Heroes usiku wa leo, katika uwanja wa Gombani kisiwani Pemba. Timu nyingine zitakazoshiriki michuano hiyo ni Burkina…

NMB yadhamini Kombe la Mapinduzi 2025

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar BENKI ya NMB, imetangaza udhamini wa Sh. Milioni 50 wa michuano ya Kombe la Mapinduzi ya Zanzibar (Mapinduzi Cup 2025), inayotarajia kuanza Januari 03, 2025 kwenye Uwanja wa Gombani visiwani Pemba, ambayo itashirikisha timu za…

CAF yatupilia mbali malalamiko ya Guinea dhidi ya Taifa Stars

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), imetupilia mbali malalamiko ya timu ya taifa ya Guinea dhidi ya Taifa Stars ya Tanzania, yaliyowasilishwa na Shirikisho la Mpira la Guinea kuhusu uhalali wa mchezaji wa Tanzania,…