Category: Michezo
Leo ni kivumbi na jasho, nafasi ya pili, mfungaji bora
na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Pazia la Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara linafungwa rasmi leo Mei 28, 2024 huku kukiwa na vita tatu kubwa za kushindaniwa ikiwa ni pamoja na mbio za nafasi ya pili, mbio za…
COREFA yakabidhi mipira 1,000 itakayochagiza kuinua michezo kwa shule za Pwani
Na Mwamvua Mwinyi , JamhuriMedia, Pwani Uwepo wa vifaa mbalimbali vya michezo katika shule mbalimbali utasaidia kuchagiza kuendelea kwa somo la michezo sanjali na kuibua vipaji vichanga mashuleni. Akipokea vifaa vya michezo-mipira 1,000 iliyokabidhiwa na Chama Cha Soka mkoani Pwani,…
Samatta atwaa ubingwa Ligi Kuu Ugiriki
ATHENS, Ugiriki: Nahodha wa @taifastars_ Mbwana Samatta @samagoal77 ametwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Ugiriki Msimu wa 2023/24. Hilo ni taji la kwanza kwa Samatta nchini humo tangu ajiunge na Paok FC mnamo Agosti 2022, baada ya kuondoka Aston Villa…
Thiago Silva amwaga machozi akiagwa Chelsea
Na Isri Mohamed Beki wa kati wa Brazil, Thiago Emiliano Da Silva, ameagwa rasmi na klabu na wachezaji wenzake usiku wa kuamkia leo, mara baada ya mkataba wake kumalizika na kutoongeza kandarasi ya kusalia klabuni hapo. Silva ambaye amedumu Chelsea…
Majaliwa : Michezo nyenzo muhimu inayodumisha amani
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ushirikiano katika michezo ni nyenzo muhimu katika kudumisha diplomasia na amani miongoni mwa nchi washirika wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM). Amesema hayo leo (Ijumaa, Mei 17, 2024) wakati akifunga Mkutano wa 79…
Mabalozi wa Afrika Tanzania kushiriki mbio za Marathon Mei 18,2024
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Mabalozi wa Nchi za Afrika nchini Tanzania wanatarajia kushiriki mbio za riadha kuanzia kilomita 5 hadi 15 zitakazofanyika Mei 18 ,2024 Ameyasema hayo leo Mei 15, 2024 Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mawasiliano Wizara…