JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Timu ya taifa ya kuogelea safarini Kenya 

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waogeleaji wanne wa timu ya taifa ya kuogelea wanatarajiwa kuondoka Juni 21 mwaka huu kwenda Nairobi, Kenya kushiriki mashindano yatakayofanza Juni 22 na 23, mwaka huu nchini humo.  Akizungumza na waogeleaji hao wakati akiwakabidhi…

Bashungwa CUP 2024 kuanza kurindima mwezi Julai

Na Mathias Canal, Karagwe-Kagera Mashindano ya mpira wa miguu yaliyopewa jina la “BASHUNGWA CUP 2024” yataanza kurindima mwanzoni mwa mwezi Julai 2024 katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera. Mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika kwa miezi miwili yatazinduliwa Kata ya Iguruwa yakihusisha…

Hatimaye Try Again akubali kujiuzulu Simba

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Baada ya vuguvugu kupamba moto kwenye mitandao ya kijamii, hatimaye mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Simba sc, Salim Abdallah ‘Try Again’ ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ndani ya klabu hiyo. “Sisi kama…

Patrick Ausems ‘Uchebe’ kocha mpya Singida Black Stars

Na Isri Mohamed Klabu ya soka ya Ihefu (Singida Black Stars) imeutangazia uma kuwa imefikia makubaliano na kocha Patrick Aussems raia wa Ubelgiji kuwa kocha wao mkuu kwa msimu unaofuata wa 2024/25. Taarifa ya klabu hiyo inaeleza kuwa kocha huyo…

Try Again amgomea Moo Dewji kujiuzulu uenyekiti Simba

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwekezaji na Rais wa heshima wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji amewapigia simu wajumbe wa upande wake akiwataka waandike barua za kujiuzulu kwa lengo la kuunda safu mpya ya uongozi. Baada ya wajumbe…

John Bocco: Shuja anayeishi, rekodi yake haitasahaulika

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Siku moja ukipata nafasi ya kukaa na mjukuu wako kupiga nae stori ya mashujaa wa soka la Tanzania basi usiache kumuelezea kuhusu John Raphael Bocco, ambaye jana amestaafu rasmi kuutumikia mpira kama mchezaji…