Category: Michezo
Dk Mpango ashiriki kilele cha Wiki ya Mwananchi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa jezi yake na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said wakati aliposhiriki katika Tamasha la Klabu ya Yanga la kilele cha Wiki ya Mwananchi lililofanyika katika Uwanja…
Yanga yailamba Red Arrows 2 -1 mchezo wa kirafiki
Timu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika mchezo wa kirafiki wa kuhitimisha Tamasha la Kilele ya wiki ya Mwananchi katika mchezo uliopigwa Agosti 4, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa,…
Yanga kucheza na Red Arrows Siku ya Wananchi
Kuelekea kilele cha siku ya Mwananchi Agosti 04, 2024, klabu ya Yanga imetangaza kucheza na klabu ya Red Arrows kutoka nchini Zambia Akizungumza na wanahabari mapema leo katika ofisi za Yanga, Afisa muhamasishaji Haji Manara amesema Red Arrows ambao ni…
Msafara wa wachezaji wawasili Paris kushiriki Olympic
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kundi la kwanza la Timu ya Tanzania itayoshiriki Michezo ya Olimpiki nchini Ufaransa limewasili salama jijini Paris asubuhi ya jana. Kundi hilo la kwanza lina waogeleaji wawili, Sophia Anisa Latiff na Collins Phillip…
Aisha Masaka atua Ligi Kuu wanawake England
Mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa Tanzania Aisha Masaka amejiunga na klabu ya Brighton & Hove Albion ya Ligi Kuu England. Brigton @ Hove Albion imemtambulisha Aisha kupitia mitandao yake na kijamii. “Tunafurahia kutangaza usajili wa mshambuliaji Aisha…