Category: Michezo
‘Wasiotimiza vigezo vya uwanja bora, wawekeni pembeni’
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) kutoa masharti kwa klabu zinazomiliki viwanja vya michezo kufikia vigezo vya ubora vitakavyoainishwa na shirikisho hilo ili kufanikiwa zaidi katika sekta ya michezo na kuagiza wasiotimiza kuwekwa pembeni….
Wema Sepetu: Ipo haja ya wasanii kurudi shule, wampa tano Rais Samia
Mwigizaji na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amesema kuna haja ya wasanii kurudi shuleni, ili kuongeza ujuzi na maarifa yatakayowasaidia kuboresha kazi zao za filamu. Pia amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufikiria kufanya mabadiliko makubwa katika sekta hiyo na…
Mashindano ya Gofu ya kumuenzi Lina Nkya kuendelea leo Arusha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baada ya Morogoro mwezi Aprili mwaka huu sasa ni zamu ya Arusha katika viwanja vya Gymkana ambapo mashindano ya Gofu kwa ajili ya kumuenzi mchezaji wa zamanı wa timu ya taifa ya wanawake…
Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Simba John Bocco kuichezea JKT
Na Magrethy Katengu–Jamuhuri media Dar es salaam JKT Tanzania Wamesajili wachezaji akiwemo aliyechezea zamani wa klabu ya Simba John Raphael Bocco kwani alikuwa huru na wanaimani kupitia kiwango chake timu itafika mahali pazuri kwa kupata kombe au kuwa katika nafasi…
Aziz Ki bado yupo sana kwa wananchi
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BAADA ya gumzo la muda mrefu kila mmoja kiazungumza lake, hatimaye Klabu ya Yanga leo Julai 10, 2024 imethibitisha rasmi kuwa mchezaji wao Aziz Ki bado ataendelea kusalia klabuni kwako. Baada tu ya…