JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Israel Mwenda : Kwa kifupi sina timu

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam ALIYEKUWA beki wa Simba msimu uliopita, Israel Patrick Mwenda, ambaye msimu huu amesajiliwa na klabu ya Singida Black Stars ameibuka na kudai kuwa kwa sasa hana timu licha ya kudaiwa kupokea ada ya…

Ligi ya Kihenzile Cup yazinduliwa

Mbuge wa Jimbo la Mufundi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile kwa kushirikiana na Taasisi ya Kihenzile Foundations amezindua Ligi ya Kihenzile Cup yenye lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika michezo sambamba na kutoa elimu ya kupiga kura…

Breaking News; Mzee Magoma ashindwa kesi, atakiwa kulipa faini

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAHAKAMA ya Hakimu mkazi Kisutu imetengua hukumu waliyoitoa ya kuwataka viongozi wa Yanga wakiongozwa na Rais Injinia Hersi Said kung’oka madarakani. Hukumu hiyo ilitolewa baada ya wanachama kadhaa wa Yanga wakiongozwa na Mzee…

Mwanariadha akabidhiwa bendera ya Taifa CRDB Marathon

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato SERIKALI imemkabidhi bendera ya taifa mwanariadha, Imelda Mfungo,ambaye ataiwakilisha nchi katika mashindano ya CRDB Marathon nchini Burundi. Mwanariadha huyo ambaye amepata fursa ya kushiriki mashindano hayo ambayo yameandaliwa kwa mara ya kwanza na Benki ya…

Dk Mpango ashiriki kilele cha Wiki ya Mwananchi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa jezi yake na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said wakati aliposhiriki katika Tamasha la Klabu ya Yanga la kilele cha Wiki ya Mwananchi lililofanyika katika Uwanja…

Yanga yailamba Red Arrows 2 -1 mchezo wa kirafiki

Timu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika mchezo wa kirafiki wa kuhitimisha Tamasha la Kilele ya wiki ya Mwananchi katika mchezo uliopigwa Agosti 4, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa,…