Category: Michezo
Ukistaajabu ya Morinho, utayaona ya Juma Nyoso
Soka ni mchezo unaochezwa hadharani na kupindisha jambo lolote ni kutafuta kujidhalilisha kwa makusudi, hasa katika ulimwengu wa sasa ambao teknolojia imeshika hatamu. Soka linachezwa uwanjani na wachezaji 22, lakini wanaotazama ni maelfu ya watu, na mamia ya kamera yanachukua…
Martial anapoonyesha ushujaa
Kama mzaha Septemba 12, mwaka huu Luis van Gaal, alifanya mabadiliko katika mchezo wa Ligi Kuu England, ambako katika dakika ya 65 alimtoa Juan Mata na nafasi yake kuchukuliwa na Anthony Martial. Kijana huyo, usajili mpya’ aliyezaliwa Desemba 12, 1995…
Hivi Buffon na Kaseja nani mzee?
Soka la Tanzania kwa sehemu kubwa linaharibiwa na midomo ya mashabiki na ulegevu wa wachezaji. Mashabiki wanaweza kumsakama mchezaji kwa kumzomea au kumzeesha na kumtangazia kuwa “amechuja” mpaka anapotea kwenye ramani ya soka. Mashabiki na wadau wengine wa soka huwa…
Asante Azam Media, Samatta
Huu ni msimu wa tatu tangu Azam Media waanze kuidhamini Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Udhamini huo wa Azam Media Group umesaidia kunogesha msisimko wa michuano hiyo kwa kufanya timu nyingi kuwa katika mkao wa kiushindani, tofauti na misimu…
Klabu ipi Ligi ya England maarufu Afrika?
Kwa mashabiki wa soka barani Afrika, Ligi Kuu ya England ndiyo kila kitu, ndiyo eneo lao la maabadi. Nembo hii ya kimataifa katika soka inafuatiliwa na zaidi ya watu bilioni moja kote duniani na watu milioni 260 kati ya hao…
Rooney ana kazi kubwa kuthibitisha
Ligi mabingwa Ulaya hatua ya mtoano inaendelea leo na kesho kwa mechi za marudiano ambazo zitapigwa saa 3:45 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Katika mechi za kwanza zilizopigwa wiki iliyopita, matokeo yalikuwa kama ifuatavyo: katika mechi zilizopigwa Jumanne, Astana…