Category: Michezo
Takururu yamulika rushwa Ligi Kuu
Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (Takukuru) imepanga kuzikomalia timu za Yanga, Azam na Simba zenye nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) hili kudhibiti upangaji matokeo katika mechi za mwisho wa msimu huu….
Pluijm anogewa michuano ya kimataifa
Kocha wa timu ya Yanga ya Dar es Salaam, Mholanzi Hans van der Pluijm, amewaambia wachezaji kwamba kama wanataka kuendelea kupanda ndege na kucheza mechi za kimataifa, basi hawana budi kutwaa ubingwa wa Bara. Kocha huyo anasema anaamini wachezaji wa…
Walcot adai anaiva na Wenger
Mshambuliaji wa Arsenal 'the Gunners', Theo Walcot, anasema kuwa hajakosana na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Arsene Wenger, na kuongeza kwamba hajaanza mazungumzo ya mkataba mpya na klabu hiyo. Mkataba wa Walcot unakamilika mwaka 2016 na Wenger amesema…
Kopu amshtua Casillas, Ngassa abaniwa Yanga
Kocha Mkuu wa Simba ya Dar es Salaam, Goran Kopunovic, amekaa na kipa wa timu hiyo, Hussein Sharrif 'Casillas', na kumwambia hana budi kukaza msuli ili aanze kukaa golini kulinda lango kama zamani. “Ndiyo, nimekaa naye na kumweleza…
Okwi amtaja Marco Reus
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, amemtaja Marco Reus wa Borussia Dortmund kuwa ndiye anayefanya apige mabao ya kiufundi dhidi ya Yanga na Mtibwa Sugar, na kusababisha mabao hayo kuwa gumzo. Akizungumza na JAMHURI hivi karibuni jijini Dar es Salaam…
Maskini England, haina chake 2015
Wakati mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Uropa yakiingia hatua ya robo fainali, hali imekuwa mbaya kwa England kwa mwaka huu, baada ya timu zake zote kuondolewa kwenye michuano hiyo mikubwa yenye mvuto wa aina yake Ulaya. Everton…