Category: Michezo
Mashindano ya kuogelea kitaifa yafana Dar
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mashindano ya kitaifa ya wazi kwa mchezo wa kuogelea yamehitimika rasmi kwa kishindo Jumapili ya Septemba 15, 2024 katika bwawa la shule ya kimataifa ya Tanganyika iliyoko mlMasaki, Dar es Salaam. Mashindano hayo…
JWTZ waibuka mshindi wa jumla mashindano ya BAMMATA
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othuman amemuwakilisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda kuwaongoza Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kufunga mashindano ya Baraza la Michezo ya…
Sakata la Yusuph Kagoma lafika pabaya
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam UONGOZI wa klabu ya Yanga umetoa maombi matatu kwa kamati ya TFF ya maadili na hadhi ya wachezaji kufuatia sakata la mchezaji wao Yusuph Kagoma ambaye anaendelea kucheza klabu ya Simba kinyume na…
Rais Samia mgeni rasmi Tamasha la Utamaduni Songea
Rais Dk Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Tatu la Utamaduni ambalo litafanyika kwa siku nne kuanzia Septemba 20 hadi 23, 2024 wilayani Songea Mkoani Ruvuma. Akizungumza katika mkutano wake na waandishi wa habari Jijini Dodoma…
Shindano la kriket kufuzu Kombe la Dunia kufanyika Septemba 20
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia,Dar es Salaam Michuano ya kimataifa ya mchezo wa kricket katika kampeni ya kufuzu kombe la dunia kwa upande wa mchezo wa kricket yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi nchini kuanzia Septemba 20, mwaka huu. Mashindano hayo yatafanyika nchini…
Azam FC wamtimua kocha Dabo na wasaidizi wake
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KLABU ya Azam FC leo Septemba 03, imetangaza kuwafungashia virago Kocha wao Mkuu, Youssouph Dabo na wasaidizi wake wa benchi la ufundi aliokuja nao kufuatia matokeo mabaya ya timu. Azam FC chini ya…