Category: Michezo
Ubaguzi Tuzo Oscar: Watu weusi wasusa
Mcheza filamu, raia wa Kenya, Lupita Nyong’o ameungana na wacheza filamu wengine Weusi kushutumu kutojumuishwa kwa wacheza filamu weusi au wale wachache kutoka kwa orodha ya wale wanaowania tuzo za Oscar. Katika akaunti yake ya Istagram Lupita amesema amekasirishwa sana…
Wenye Man United waikwepa timu yao
Mtendaji mkuu wa zamani wa Manchester United ya England, David Gill ameangalia uwezo wa timu hiyo kwa sasa akatikisa kichwa kisha akasema, “Hawa sio mashetani wekundu ninaowajua.” Bila kutafuna maneno wala kupepesa macho na kutikisa masikio, Gill amesema, “Ninachokiona kwa…
Samatta aibua wanamichezo
Ushindi wa Mtanzania Mbwana Samatta umewafungua vinywa Watanzania na kutaka kiwekwe kwenye Katiba, kifungu kitakachotambua na kuwaenzi wanamichezo watakaoiletea sifa nchi katika kipindi chao chote cha maisha kama wanavyofanyiwa viongozi wa nchi. Wametaka kifungu hicho kiwatambue wanamichezo hao kwa kuwapatia…
Lini atapatikana Samata mwingine
Ahsante Mtanzania Mbwana Samata, nyota wa TP Mazembeya DRC kwa kuchaguliwa kuwa Mwanasoka Bora wa Afrika wa wachezaji wanaokipiga ligi za ndani. Mwaka 2015 umekwisha, mwaka 2016 ndiyo kwanza umeanza na ‘zali’ la Samata, lakini tutapotazama mbele, tuonaona nini? Nani…
Namuona Mourinho akitua Man United
Kwa wasiofahamu ni kwamba Kocha Jose Mourinho mbali ya kuwa na utani wa jadi na Arsene Wenger wa Arsenal, lakini alikuwa na upinzani mkali hasa wa maneno ya karaha na Sir Alex Ferguson, kocha wa zamani wa Manchester United. Ferguson…
Imetimia nusu karne tangu kifo cha Salum Abdallah
Salumu Abdallah Yazidu (pichani)hatosahaulika kamwe katika ulimwengu wa muziki. Alikuwa mtunzi, mwimbaji wa bendi ya Cuban Marimba iliyokuwa na maskani yake katika mji wa Morogoro. Wakati wa uhai wake alileta ushindani mkubwa katika muziki wa dansi mjini humo akishindana na…