Category: Michezo
Mfahamu Gianni Infantino, Rais mpya wa soka duniani
Raia wa Uswisi au Switzerland, mwenye asili ya Italia, Gianni Infantino, mwishoni mwa wiki iliyopita ndiye aliyechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa). Amechukua nafasi ya Sepp Blatter, aliyedumu madarakani kwa miaka 17 akiongoza shirikisho hilo….
Daktari: Sababu za mashabiki kuzimia
Zaidi ya mashabiki 20, walipata mshtuko Jumamosi iliyopita wakati mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba na Yanga iliyotoa uwanjani na ushindi wa mabao 2-0. Ajabu ni kwamba kati ya hao, 15 walikuwa ni wa Yanga licha ya timu yao…
Mtikisiko Man U
Kocha Mkuu wa Manchester United, Louis Van Gaal hana amani tena katika timu hiyo. Amezungumza mambo mawili ambayo yamemshtua wikiendi iliyopita. Jambo la kwanza, ni kuthibitishwa na watu wake wa karibu kwamba Kocha machachari, Jose Mourinho ameteta na uongozi wa…
Jose Chameleon azawadia miguu
Mwanamuziki maarufu wa Uganda, Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleon, amenunua jozi moja ya kiatu aina ya raba kwa dola 12.5 za Marekani (sawa na Sh milioni 27 za Tanzania). Wakati baadhi ya mashabiki wa muziki wakimbeza kwenye mitandao ya…
Harufu ya Mourinho yatapakaa Man Utd
Licha ya uongozi wa Manchester United ya England, kukana kuzungumza lolote kuhusu kinachoendelea kati yao na Kocha Jose Mourinho, taarifa za uhakika zinasema pande zote mbili, zimekuwa na mazungumzo mazito. Mourinho ni kocha mzoefu, mwenye maneno ya karaha na kejeli…
Azam inapoandaliwa kuwa bingwa Ligi Kuu
Huhitaji kuwa na elimu ya sekondari lau ya kidato cha kwanza, kubaini kwamba Azam FC inaandaliwa kuwa bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Unachoweza kujiuliza ni kuwa Bodi inayoendesha Ligi Kuu Bara (TPLB) inatupeleka wapi? Katikati ya mashindano ya kuwania…