Category: Michezo
Muhammad Ali; Bondia aliyetikisa dunia
Muhammad Ali (74), bingwa wa zamani wa dunia wa ngumi za uzani wa juu na mmoja kati ya wanamasumbwi bora zaidi duniani, aliyefariki katika Hospitali ya Phoenix Area, Arizona, nchini Marekani mwishoni mwa wiki iliyopita. Bondia huyo aliyetamba katika miaka…
Mafanikio ya Yanga na Tanzania kuongezwa uwakilishi CAF
Tanzania kwa sasa inabebwa na Yanga katika anga za michuano ya kimataifa, kutokana na uwezo ambao wamezidi kuuonesha kwenye eneo hilo na ligi la hapa nyumbani. Hilo halina ubishi. Hiyo imekuja baada ya Yanga kufuzu kwa hatua ya makundi ya…
Misri imebeba hatma ya Stars AFCON
Jumatano ya wiki iliyopita, Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, alitaja kikosi cha wachezaji 26 kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi dhidi ya Kenya pamoja na ile ya kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika…
Uozo kwa Aveva unamtakatisha Rage Simba
Hakuna asiyefahamu kuwa kwa sasa ndani ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam hali si shwari, kutokana na aina ya matokeo inayoyapata timu hiyo kwa msimu minne sasa. Simba imeshindwa kabisa kupata matokeo mazuri kutoka kwa Rais wa sasa…
Madudu ya TFF na neema Yanga, Azam
Zimesalia siku chache kumalizika kwa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, ambayo ni mara ya kwanza kushirikisha timu 16. Miaka ya nyuma Ligi hiyo ilikuwa inashirikisha klabu 12 hadi 14 ambapo timu mbili za juu zilikuwa zinaenda kushiriki michuano ya…
Pluijm: Misri ni vita
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema anakwenda Misri na timu yake vitani kuisambaratisha Al Ahly ambayo itakuwa mwenyeji wao katika mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1…