JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Kopu amshtua Casillas, Ngassa abaniwa Yanga

  Kocha Mkuu wa Simba ya Dar es Salaam, Goran Kopunovic, amekaa na kipa wa timu hiyo, Hussein Sharrif 'Casillas', na kumwambia hana budi kukaza msuli ili aanze kukaa golini kulinda lango kama zamani.   “Ndiyo, nimekaa naye na kumweleza…

Okwi amtaja Marco Reus

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, amemtaja Marco Reus wa Borussia Dortmund kuwa ndiye anayefanya apige mabao ya kiufundi dhidi ya Yanga na Mtibwa Sugar, na kusababisha mabao hayo kuwa gumzo.   Akizungumza na JAMHURI hivi karibuni jijini Dar es Salaam…

Maskini England, haina chake 2015

Wakati mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Uropa yakiingia hatua ya robo fainali, hali imekuwa mbaya kwa England kwa mwaka huu, baada ya timu zake zote kuondolewa kwenye michuano hiyo mikubwa yenye mvuto wa aina yake Ulaya.   Everton…

Phiri aifuta Simba ubingwa wa Bara

Kocha wa zamani wa Simba, Mzambia Patrick Phiri, amewashauri Simba kuacha kuwaza ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu na kuwataka kupigania angalau nafasi ya pili katika msimamo.   Akizungumza katika mahojiano maalum na mwandishi wa makala hii, Phiri, aliyetimuliwa…

Mourinho apandisha hasira Chelsea

Licha ya kubezwa, hasa kwa kuondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Chelsea imeamua kuhamishia hasira zake kwenye Ligi Kuu England (EPL) ambako inaongoza kwenye msimamo.   Kocha Mkuu wa timu hiyo, Jose Mourinho, amesema katu sasa hawatang'oka katika nafasi hiyo…