JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Michezo haihitaji siasa

Wadau wa mchezo wa riadha nchini wameombwa kuja na mbinu mbadala kama kweli wana nia ya dhati ya kufufua mchezo huo kutoka ngazi ya shule za msingi, sekondari hadi vyuo vikuu kuliko kuwaachia wanasiasa wasiokuwa na ufahamu wa michezo. Wakizungumza…

Nani atanusuru mchezo wa masumbwi?

Wadau wa mchezo wa masumbwi nchini, wametakiwa kuingilia kati na kutafuta njia sahihi za kuunusuru mchezo huo unaoelekea kupotea kutokana na malumbano yasiyokuwa na tija kati ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT) na vyama vya michezo. Wakizungumza na JAMHURI kwa…

Samatta kuitangaza Tanzania ughaibuni

Serikali sasa imeamua kumtumia Mbwana Samatta katika kuuza utalii wa Tanzania duniani. Samatta anasakata soka katika klabu ya Genk, Ubelgiji.  Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii, imetangaza nia ya kuanza kumtumia mchezaji huyo pekee anayecheza soka la…

Kuondoka Acacia aibu kwa wana Shinyanga

Kampuni ya uchimbaji madini – Acacia Gold Mine, imetoa notisi ya kutaka kujiondoa kuidhamini klabu ya Stand United ya mkoani Shinyanga, kutokana na mgogoro unaoendelea kufukuta klabuni hapo. Acacia Gold Mine, imetangaza kuvunja mkataba wa udhamini huo endapo klabu hiyo…

Tumepeleka watalii Rio!

Kwa mara ya mwisho Tanzania kupata medali katika mashindano ya Olimpiki ilikuwa ni mwaka 1980 michezo hiyo ilipofanyika katika nchi ya Urusi ambapo Filbert Bayi na Suleiman Nyambui walipata medali za fedha. Katika mashindano hayo Bayi alitwaa medali hiyo kutoka…

Kwanini Soka la EA pasua kichwa?

Mmoja wa Makocha wenye heshima katika ukanda wa Afrika  Mashariki na Kati (EA), Adel Amrouche aliwahi kutoa  maoni yake juu ya kwa nini ukanda huu haupigi hatua katika soka. Kwa wasiomfahamu, amewahi kuwa kocha wa timu ya taifa ya Burundi…