Category: Michezo
Ligi ya Wavu kurejea Septemba 27
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Mpira wa Wavu nchini (TAVA) limetangaza rasmi kurejea kwa mzunguko wa pili wa Ligi ya Mpira wa Wavu nchini. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Septemba 25 Mwenyekiti wa…
Kapombe afunguka alichoambiwa na Mabululu
Na Isri MohamedBeki wa kulia wa Simba, Shomari Kapombe amesema sababu zilizomfanya mshambuliaji wa Al Ahly Tripoli, Agostinho Cristóvão Paciência ‘Mabululu’ kumkimbilia na kumshika mkono ni kumpongeza kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kuzuia mashambulizi yao. Mabululu alionekana akizungumza na Kapombe…
Dk Biteko azitaa wizara, taasisi na wakala serikalini kutenga bajeti ya kutosha SHIMIWI
Asema sio wakati wa kutoa visingizio Wasiotuma washiriki watakiwa kujieleza SHIMIWI yalia na kushuka idadi ya vilabu vinavyoshiriki Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Wizara, Taasisi, Mashirika, wakala za Serikali zimetakiwa kutenga Bajeti ya kutosha kwa ajili…
Mashindano ya kuogelea Afrika kufanyika Z’bar
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar Salaam Chama cha Mchezo wa Kuogelea Africa (Africa aquatics) kwa kushirikiana na mchezo wa kuogelea nchini vitaendesha mashindano ya wazi kwa mchezo wa kuogelea yanayotarajiwa kufanyioa visiwani Zanzibar. Mashindano hayo yanafanyika kwa mara ya kwanza…
Mchezo wa raga waongeza mahusiano kati ya Tanzania na Ufaransa
Na Lookman Miraji,JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya michezo kutoka nchini Ufaransa ya Sergio Mat imekabidhi rasmi vifaa vya michezo kwa timu ya taifa ya mchezo wa raga nchini. Hafla ya tukio hilo limefanyika Septemba18 katika…
Kapinga ashuhudia fainali Doto Cup 2024
Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga Septemba 17, 2024 ameshuhudia fainali ya mashindano ya Doto Cup 2024 ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa. Mashindano hayo yameandaliwa na Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge wa…