JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Hivi Buffon na Kaseja nani mzee?

Soka la Tanzania kwa sehemu kubwa linaharibiwa na midomo ya mashabiki na ulegevu wa wachezaji. Mashabiki wanaweza kumsakama mchezaji kwa kumzomea au kumzeesha na kumtangazia kuwa “amechuja” mpaka anapotea kwenye ramani ya soka. Mashabiki na wadau wengine wa soka huwa…

Asante Azam Media, Samatta

Huu ni msimu wa tatu tangu Azam Media waanze kuidhamini Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Udhamini huo wa Azam Media Group umesaidia kunogesha msisimko wa michuano hiyo kwa kufanya timu nyingi kuwa katika mkao wa kiushindani, tofauti na misimu…

Klabu ipi Ligi ya England maarufu Afrika?

Kwa mashabiki wa soka barani Afrika, Ligi Kuu ya England ndiyo kila kitu, ndiyo eneo lao la maabadi. Nembo hii ya kimataifa katika soka inafuatiliwa na zaidi ya watu bilioni moja kote duniani na watu milioni 260 kati ya hao…

Rooney ana kazi kubwa kuthibitisha

Ligi mabingwa Ulaya hatua ya mtoano inaendelea leo na kesho kwa mechi za marudiano ambazo zitapigwa saa 3:45 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Katika mechi za kwanza zilizopigwa wiki iliyopita, matokeo yalikuwa kama ifuatavyo: katika mechi zilizopigwa Jumanne, Astana…

Makocha hawa Wazungu kunogesha Ligi Kuu Bara

Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom nchini linatarajiwa kufunguliwa rasmi Agosti 22, mwaka huu kwa mechi ya Ngao ya Hisani kati ya Azam na Yanga, na Septemba 12 ndiyo mechi za msimu wa Ligi 2015/2016 zitaanza rasmi. Mabadiliko mengi yamefanyika…

Arsenal, Azam zimeweza, sasa zamu ya Taifa Stars

Jumapili Agosti 3, mwaka huu, ilikuwa ni siku ya kuvunja rekodi na pengine kumaliza ubishi uliodumu kwa muda mrefu. Timu ya soka ya Azam maarufu kama Wanalambalamba walibeba Kombe la Kagame bila kupoteza mchezo.  Kadhalika, bila kuruhusu bao hata moja…