Category: Michezo
Dua zetu kwa Serengeti Boys
Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imeendelea na maandalizi ya mashindano ya AFCON yanayotarajiwa kuanza Jumapili ya wiki hii, huko Gabon. Katika maandalizi ya kuelekea katika mashindano hayo, timu hiyo imeshinda michezo mitatu mfululizo, imeshinda…
Conte ajawa mchecheto EPL
Ligi Kuu nchini Uingereza imeingia katika hatua ya lala salama huku nafasi ya kutwaa ubingwa ikiwa mikononi mwa vilabu vya Chelsea yenye alama 78 kwa kucheza michezo 33 na Tottenham Hotspur yenye alama 74 ikiwa na michezo 33. Kutokana na…
Serikali yaiokoa TFF
Serikali imeingilia kati kulinusuru Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya ofisi zake kufungwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushindwa kulipa kodi ya shilingi bilioni 1 inayodaiwa kwa miaka mingi. Deni hilo lilitokana na TFF kushindwa…
Miaka minane ya kifo cha Michael Jackson
Juni 25, mwaka huu, itakuwa imetimia miaka minane tangu Michael Jackson ‘Wacko Jacko’ alipoiaga dunia. Alikuwa ni mwanamuziki mwenye vipaji vingi kutoka nchini Marekani. Alifahamika zaidi kwa jina la heshima la ‘Mfalme wa Pop’. Michael alitambulika kama mburudishaji aliyepata mafanikio…
Kocha wa kuogelea alete manufaa
Ujio wa kocha wa mchezo wa kuogelea, Sue Purchase, kutoka Shule ya Kimataifa ya Mtakatifu Felix ya Uingereza, unatarajiwa kurejesha ari ya mchezo huo ambao umeanza kupotea nchini katika miaka ya hivi karibuni. Kocha huyo raia wa Uingereza, amekuja nchini…
Kufungwa ofisi TFF kunaathiri timu
Siku chache baada ya Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart, wakala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuzifunga ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kwa kushindwa kulipa kodi, wadau wamesema hali hiyo inaweza kuchangia kudhoofisha ushiriki…