Category: Michezo
Ujio wa Everton ni fursa
Tanzania imeendelea kunufaika kiuchumi na ujio wa baadhi ya wachezaji wanaokuja kupumzika baada ya kukamilika kwa ligi katika nchi hizo. Wachezaji hao ambao wengi wanatoka katika Ligi Kuu ya Uingereza wamekuja nchini kwa mapumziko ya msimu baada ya kumalizika kwa…
Hekaheka uchaguzi TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linakwenda kufanya uchaguzi wake, huku aliyekuwa Rais wa Shirikisho hilo, Jamal Malinzi, akiwa miongoni mwa wagombea ambao mpaka wikiendi walikuwa wamechukua fomu za kugombea tena nafasi ya uongozi. Malinzi amekuwa Rais wa TFF,…
Nyambui: Tuwekeze kwenye riadha
Kocha wa Riadha wa Timu ya Taifa la Brunei, ambaye pia amepata kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, amekishauri Chama cha Riadha kuwekeza nguvu nyingi katika ujenzi wa misingi mizuri kwa watoto wenye vipaji. …
Tuwekeze soka la vijana
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeshauriwa kutafuta wadhamini wenye uwezo wa kujenga vituo vya kukuza vipaji, kuliko kuendelea kuokoteza wachezaji. JAMHURI limezungumza na wadau wa soka, ambao wamesema mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17, yanayoendelea…
Serengeti Boys mbele kwa mbele
Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’, imeendelea kufanya vema katika mashindano ya AFCON yanayoendelea nchini Gabon. Serengeti Boys imefanya jambo ambalo Watanzania wamekuwa wakilisubiri kwa muda mrefu, kushiriki na kuleta ushindani katika mashindano ya kimataifa. Timu…
Tenga ajiandaa kuleta mageuzi katika soka
Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Chilla Tenga, amesema jukumu lake la kwanza katika majukumu yake mapya katika kamati ya usimamizi wa leseni za klabu za Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ni kuhakikisha ustawi wa…