Category: Michezo
Tetesi za usajili Ulaya
Baada ya kukamilika kwa usajili wa Neymar kutoka Barcelona kwenda PSG, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Javier Pastore, amempa Neymar jezi namba 10 akisema ni shukrani yake kwake ajisikie kuwa nyumbani (tovuti ya PSG). Naye Meneja wa Real Madrid, Zinedine…
Michezo chanzo kikuu ajira
NA MICHAEL SARUNGI Serikali inaandaa mikakati mahsusi ya kuhakikisha sekta ya michezo nchini inakuwa moja ya vyanzo vya ajira na mapato kwa vijana. Akizungumza na JAMHURI baada ya kukabidhi bendera kwa Timu ya Taifa ya Riadha inayoshiriki mashindano ya riadha…
SportPesa kudhamini michezo mingine zaidi
Kampuni ya SportPesa Tanzania, inakamilisha mipango itakayowezesha kupanua wigo wa uwekezaji wake nchini kwa kugeukia michezo mingine, lengo ikiwa ni kuwapa nafasi vijana wengi zaidi kushiriki katika sekta ya michezo, huku ikisisitiza ushirikiano na Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF)….
Lazima tuwe tayari kujifunza
Ujio wa Klabu ya Everton na juhudi za Serikali za kurudisha michezo mashuleni hauwezi kuwa na maana kama viongozi wa michezo hawatakuwa na mipango madhubuti na kuwa tayari kujifunza toka katika nchi ambazo zipo juu kisoka. Wakizungumza na JAMHURI kuhusu…
Cosafa yaipaisha Stars
Kiwango kizuri kilichooneshwa na Taifa Stars katika mashindano ya COSAFA kwa kuifunga Bafana Bafana na kuiondoa mashindanoni, kumeisaidia kupanda katika viwango vya FIFA vya mwezi Juni mwaka huu kutoka 139 hadi 114. Stars imeshika nafasi ya 30 kwa Afrika huku…
Tukatae mamluki soka
Kuvamiwa kwa mchezo wa soka na mamluki katika ngazi ya klabu na timu za taifa ni miongoni mwa sababu zinazochangia kudorora kwa mchezo huo nchini. Akizungumza na JAMHURI, mchezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania,…