JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

DROO YA 32 BORA ASFC YAFANYIKA, YANGA YAPANGWA NA IHEFU

Timu 32 zilizofuzu kwenye raundi ya 32 bora ni: Ruvu Shooting, Mwadui FC, Dodoma FC, KMC, Tanzania Prisons, Yanga, Green Worriors, JKT Oljoro, Buseresere FC, Friends Rangers, Majimaji Rangers, Singida United, Pamba SC, Azam FC, Kiluvya FC, Mwadui FC, Mbao…

SIMON MSUVA ATUA BONGO KWA MAPUMZIKO AKITOKEA MORROCO

MSHAMBULIAJI  wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika club ya Difaa El Jadid ya Morocco, Simon Msuva, amewasili leo asubuhi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam. Akitokea Morocco kwa ajili ya mapumziko…

Azam FC Yaendeleza Kichapo, Yaifunga Jamhuri 4-0

Azam imezidi kuonyesha dhamira ya kutetea ubingwa wao baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya Jamhuri Kikosi cha Azam FC, kimezidi kufanya vizuri kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea hapa Zanzibar baada ya kuibuka na…

ARSENAL, CHELSEA ZASHINDWA KUTAMBIANA

Mchezo mmoja wa ligi kuu Uingereza uliopigwa jana usiku uliwakutanisha timu mbili zinazotoka mji mmoja London, Arsenal na Chelsea zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya mabao 2-2. katika mchezo Chelsea ilipaswa kupata pointi zote tatu katika mechi hiyo kwani…

YANGA YAICHARAZA MLANDEGE 2-1

Yanga imeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mlandege katika mchezo wa kundi B, uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Ushindi wa Yanga umepunguza kasi ya Mlandege ambayo ndiyo vinara wa kundi…

RAIS WA FIFA KUHUDHURIA MKUTANO DAR ES SALAAM

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepata uenyeji wa mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) unaotarajiwa kufanyika Februari 22 mwaka huu katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere ulioko eneo la Posta jijini Dar es Salaam. Akizungumza…