Category: Michezo
Arsenal, Liverpool Hakuna Mbabe
Ligi kuu nchini uingereza jana usiku iliendelea kwa kuzikutanisha Arsenal na Liverpool kwenye uwamja wa Emirates, ambapo kulishuhudia wanaume hao wakitunishiana misuli baada ya kufungana mabao 3 kwa 3. Liverpool walikuwa wakwanza kuandika bao lililofungwa na Philippe Coutinho kwenye dakika…
Simba, Yanga zijiandae Kimataifa
Kipenga cha kuashiria kuanza kwa mashindano klabu bingwa barani Afrika kimepulizwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) huku ikuacha kitendawili kwa vilabu vya Tanzania kama vitauvunjwa mwiko wa kuondolewa kwenye mashindano hayo hatua za awali. Wakizungumza na Gazeti…
Ozil, Kutimkia Old Traford
Klabu ya Manchester United ya Uingereza iko mbioni kumuuza mchezaji wake Henrikh Mkhitaryan ili kupata pesa za kumsajili kiungo wa klabu ya Arsenal, Mjerumani Mesut Ozil. Mchezaji huyo anatarajiwa kumaliza mkataba wake ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu…
Zanzibar Heroes Yaishangaza Tena Dunia, Baada ya Kuwafumua Uganda 2-1
Timu ya Taifa ya Zanzibar , Zanzibar heroes imezidi kuonyesha maajabu yake kwenye michuano ya CECAFA, baada ya leo kuwatoa mabingwa watetezi Ugnada kufuatia kipigo cha 2-1 na kutinga hatua ya fainal ambapo watakutana na timu ya Taifa ya Kenya….
Simba Inahitaji Zaidi ya Fedha
Mchezo wa soka unahitaji benchi la ufundi lenye watalamu wenye ueledi mkubwa wenye uwezo wa kuendana na mabadiliko ya soka kadri mda unavyobadilika. Wakizungumza na JAMHURI juu ya mabadiliko yaliyofikiwa na klabu ya Simba wachezaji wa zamani na watalamu wa…
Pochettino Matatani
Bundi ameanza kulia ndani ya klabu ya Tottenham ya London baada ya kujikuta ikisukumwa nje ya timu nne za juu (top 4) hadi kuangukia nafasi ya sita. Baada ya kupata ushindi dhidi ya klabu ya Real Madrid na ushindi wa…