Category: Michezo
Tamasha la mitindo nchini Labeba taswira mpya
Na Lookman Miraji Tamasha la mitindo la kitanzania lijulikanalo kama Tanzania Fashion Festivals (TAFF) limechukua taswira taswira mpya mara baada ya kufanyika kwake mwishoni mwa wiki iliyopita. Tamasha hilo lilifanyika jumamosi iliyopita ya septemba 28 mwaka huu katika ukumbi wa…
Mbwana Samatta arejeshwa Taifa Stars
Na Isri Mohamed Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta ameitwa tena katika kikosi cha timu ya taifa kitakachoingia kambini Oktoba 4, mwaka huu kwa ajili ya kujiandaa na mchezo dhidi ya DR Congo wa kufuzu AFCON. Akizungumza…
Viongozi vyama vya michezo waaswa kiwasilisha hesabu za fedha kwa msajili BMT
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar esSm Salaam Viongozi wa vyama na mashirikisho ya michezo nchini wameaswa kuwasilisha hesabu za fedha kwa msajili ambapo ni kwa mujibu wa sheria zilizowekwa na baraza la michezo la taifa. Akizungumza Septemba 30,2024 katika ofisi…
Mtoto Mtanzania ashinda tuzo ya Ballon D’or
Na Isri Mohamed Mtoto Mtanzania Barka Seif ameandika rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Ballon D’or of the Champions Dream nchini Hispania. Barka anayekipiga kwenye Academy ya vijana ya CF Damm, ameshinda tuzo…
Lina PG Tour yafufua gofu Moshi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Moshi KUWEPO kwa mashindano ya gofu ya Lina PG Tour katika viwanja vya gofu vya klabu ya Moshi Gymkhana, kumesaidia kufufua mchezo huo na kuboresha viwanja hivyo ambavyo awali vilikuwa na hali mbaya kutokana na kutokuwepo kwa…
Serikali Zanzibar kujenga uwanja mkubwa michezo utakaokubalika na FIFA, CAF
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inajipanga kujenga uwanja mkubwa wa michezo utakaokuwa na vigezo vinavyokubalika na Shirikisho la Soka Duniani FIFA pamoja na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti…