Category: Michezo
TANZIA: Beki wa Zamani wa Yanga na Taifa Stars, Jogoo Afariki dunia
TANZIA: Beki wa kati(Sentahafu) wa zamani wa Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa(Taifa Stars), Athuman Juma Chama maarufu kama Jogoo amefariki asubuhi ya leo, Mchazaji huyo amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa presha…
Philippe Coutinho Rasmi Barcelona, Asaini Miaka 5
Barcelona imetangaza kuwa wamekamilisha usajili wa Philippe Coutinho kwa mkataba wa miaka mitano kutoka Liverpool Miamba hao wa La Liga walimkosa Mbrazili huyo dirisha la uhamisho wa majira ya joto licha ya kutoa ofa tatu nono, lakini baada ya tetesi…
AZAM YAENDELEZA UBABE KWA SIMBA KOMBE LA MAPINDUZI
Mshambuliaji Iddi Kipwagile ameihakikishia timu yake ya Azam kutinga nusu fainali ya kombe la mapinduzi baada ya kuifunga Simba bao 1-0 Kikosi cha Azam FC leo kimeonyesha dhamira yake ya kutaka kutetea ubingwa wa kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka…
YANGA YATINGA NUSU FAINAL KOMBE LA MAPINDUZI, YAIFUNGA TAIFA 2-0
Ajibu ameisaidia Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0, na kukata tiketi ya kucheza nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi Miamba ya soka Tanzania Bara, Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya timu ya Taifa ya…
AFRICAN SPORTS YAPATA NEEMA KUTOKA KWA WAZIRI UMMY MWALIMU
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katikati akimkabidhi vifaa vya michezo ambavyo ni viatu Mwenyekiti wa timu ya African Sports Awadhi Salehe Pamba ikiwa ni kuipa motisha timu hiyo kufanya vizuri kwenye michuano wanayoshiriki ili waweze…
Azam Yachezea Kichapo Kutoka kwa URA
Azam FC italazimia kuifunga Simba leo ili kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa wake baada ya jana kufungwa na URA bao 1-0 Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi leo wameonja joto ya michuano hiyo baada ya kupokea kipigo…