Category: Michezo
FULL TIME YANGA VS URA KOMBE LA MAPINDUZI NUSU FAINALI (5-4), YANGA NJEE, URA YATINGA FAINALI
Dakika ya 2: URA wanapata kona ya kwanza Dakika ya 10: URA wanapata faulo karibu kabisa na lango la Yanga Dakika ya 15: matokeo bado 0-0, lakini mpira ni mkali sana kila mashambulizi zamu kwa zamu Dakika ya 20: matokeo…
AZAM TV YANOGESHA ZAWADI YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI WA VPL
Bodi ya ligi (TPLB) imetangaza maboresho katika zawadi za mchezaji bora wa mwezi wa Ligi kuu Tanzania Bara, ambapo kuanzia sasa, mchezaji bora wa kila mwezi atakuwa akipata tuzo maalum ya Kikombe, fedha taslim shilingi milioni moja pamoja na king’amuzi…
YANGA KUTUNZA HESHIMA ZA AZAM NA SIMBA KWA URA?
Kocha wa Yanga amesema hawatotumia mchezaji mwingine zaidi ya wale waliokuwa wakiwatumia tangu mwanzoni mwa michuano hiyo YANGA na URA zitashuka dimbani mapema kesho kutafuta timu itakayocheza fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi ambalo linaendelea hapa visiwani Zanizibar Mchezo…
YANGA USO KWA USO NA URA NUSU FAINAL YA KOMBE LA MAPINDUZI
Kufuatia matokeo ya jana kuanzia mchezo wa mapema uliowakutanisha Simba na URA, na kushuhudia Simba kipandishwa boti kurudi Dar es Salaam kwa kufungwa bao 1-0, na kuifanya URA kufika point 10 na kuongoza kundi A huku Azam ikishika nafasi ya…
SINGIDA UNITED YAIDHIBITI YANGA KOMBE LA MAPINDUZI
Makocha wa timu za Yanga na Singida United wametunziana heshima baada ya timu zao kumaliza dakika 90 zikitoka sare ya 1-1 Kombe la Mapinduzi Wachezaji wa Yanga wamelazimika kupambana hadi dakika ya mwisho na kufanikiwa kupata sare ya 1-1, dhidi…
UNAJUA KWANINI LIVERPOOL WALIMUUZA COUTINHO, SOMA HAPA
Meneja wa Timu ya Liverpool, Jurgen Kloop ameeleza kuwa klabu yke ilifanya kila iwezalo ili kuendelea kuwa na mchezaji Phillipe Coutinho, lakini mwisho wa siku mchezaji huo raia wa Brazili alikuwa na tamaa ya kwenda kuichezea Klabu ya Barcelona. Hatimaye…