Category: Michezo
AZAM FC: HATUTAKUBALI KUFUNGWA MARA MBILI NA TIMU MOJA
Licha ya kutinga fainali lakini kocha wa Azam Aristica Ciaoba amesema hiyo ni nafasi pekee ya kulipa kisasi cha kufungwa na URA mechi za makundi Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, amesema anauhakika timu yake itatetea ubingwa wake wa…
WALLACE KARIA ATEULIWA NA CAF KUWA KAMISHNA WA MECHI
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Wallace Karia ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF kuwa kamishna wa mechi Wallace Karia anatarajiwa kuwa kamishna wa mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Fainali za Africa kwa…
LWANDAMILA AMTETEA CHIRWA KWA MASHABIKI
Lwandamina amewataka mashabiki wa timu hiyo mambo ya kombe la Mapinduzi na kuangalia michuano inayowakabili mbele yao Kocha mkuu wa Yanga George Lwandamina, amemtetea mshambuliaji wa timu hiyo Obrey Chirwa, kuwa mkwaju wa penalti aliokosa ilikuwa na bahati mbaya na…
JE AZAM ATAWEZA KULIPA KISASI KWA URA, KOMBE LA MAPINDUZI?
Pambano la fainali la kombe la Mapinduzi limezidi kuvuta hisia za mashabiki wa soka visiwani Zanzibar baada ya makocha wa timu zote mbili kutambiana TIMU za Azam na URA keshozitashuka Uwanja wa Amaan Zanzibar kusaka taji la 12, la michuano…
ARSENAL, CHELSEA HAKUNA MBABE
Arsenal wameilazimisha sare ya 0-0 Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge Alexis Sanchez akianzia benchi na Wilshere akipata majeraha Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza kuwa uamuzi wake kumwanzisha Alexis Sanchez benchi kwenye mechi za Kombe la EFL dhidi ya…
Azam Yatinga fainali ya Kombe la Mapinduzi, Kukutana na URA
Bao pekee la kinda Shabani Idd limeipelekea Azam FC ambao ndiyo mabingwa watetetzi wa kombe la Mapinduzi fainali ya michuano hiyo Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi Azam FC, huneda wakafanikiwa kulibakisha kombe hilo nchini baada ya leo kufanikiwa kuingia…